Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli Arejea Jijini Dar es Salaam na Kuhutubia Wananchi wa Bunju B

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Bunju wakati akirejea jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano katika mkoani  Tanga. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitija jambo wakati akizungumza na wananchi wa Bunju, akirejea jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano katika mkoani  Tanga.

Wananchi wa wananchi wa Bunju wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akizungumza nao alipokuwa akirejea jijini Dar es Salaam akitokea Mkoani Tanga mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano katika mkoani  Tanga. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.