Habari za Punde

Vikundi vya Mazoezi Kisiwani Pemba Vyafanya Usafi Katika Maeneo ya Kijamii.

MKUU wa Wilaya ya Mkoani, ambaye ni mlezi wa kikundi cha Mazoezi cha Gombani Chake Chake “Gombani Fitness Asociassion” akimkabidhi msaada wa Pempas Katibu wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Dk Ali Omar Mbarawa
MKUU wa Wilaya ya Mkoani na Mlezi wa Kikundi cha Mazoezi ya Viungo Gombani Chake Chake “Gombani Fitness” Hemed Suleiman Abdalla, akimjulia hali mmoja ya watoto waliolazwa katika hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani
MLEZI wa kikundi cha Mazoezi ya Viungo cha Gombani Chake Chake “Gombani Fitness Asociassion”ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman Abdalla, katikati akifanya usafi mbele ya jengo la Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani
VIJANA wa Kikundu cha Mazoezi cha Gombani Chake Chake “Gombani Fitness Asociassion” wakifanya usafi ndani ya jengo la Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani
VIJANA wa Kikundi cha Mazoezi cha Gombani Chake Chake “Gombani Fitness Asociassion” wakiokota majani na takataka zilizomo ndani hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, wakati walipofika kufanya usafi katika hospitali hiyo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.