Habari za Punde

Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini  Unguja Mhe.Vuai Mwinyi Khamis mara alipowasili katika viwanja vya Sea Cliff Hotel Shehia ya Kama Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja alipofanya ziara katika Wilaya  hiyo leo,[Picha na Ikulu.] 12 /08/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa  Kaskazini  Unguja Mhe.Haji Juma Haji mara alipowasili katika viwanja vya Sea Cliff Hotel Shehia ya Kama Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja alipofanya ziara katika Wilaya  hiyo leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Makamanda wa vikosi vya ulinzi  mara alipowasili katika viwanja vya Sea Cliff Hotel Shehia ya Kama Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja alipofanya ziara katika Wilaya  hiyo leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini  Unguja Mhe.Vuai Mwinyi Khamis na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serkali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika  Hotel ya Sea Cliff   Shehia ya Kama Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja alipofanya ziara katika Wilaya  hiyo leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serkali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir (kulia) wakati wa mkutano wa kupata taarifa ya utendaji katika Mkoa wa Kaskazini Unguja katika  Hotel ya Sea Cliff   Shehia ya Kama Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja alipofanya ziara katika Wilaya  hiyo leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali katika ukumbi wa mikutano wa Hotel ya Sea Cliff   Shehia ya Kama Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja katika Mkutano wa Ziara maalum ya kutembelea miradi mbali mbali ya mendeleo kwa Mkoa wa Kaskazini  Unguja iliyoanza leo,kabla ya kupata taarifa ya mkoa katika ukumbi huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipokea taarifa ya Utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kutoka kwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe.Vuai Mwinyi Mohamed baada ya kuisoma katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Kama Wilaya ya  Kaskazini "B",Rais alipofanya ziara maalum katika Wilaya hiyo kuangalia Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali (hawapo pichani) katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Kama Wilaya ya  Kaskazini "B",Unguja,alipofanya ziara maalum  ya kuangalia Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika Wilaya hiyo
Baadhi ya  Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao akiwa katika ziara ya kuangalia Miradi mbali mbali ya Maendeleo katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Kama Wilaya ya  Kaskazini "B",Unguja
Baadhi ya Washauri wa Rais na Viongozi wengiine walipokuwa wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed (hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa yakee ya utelezaji wa majukumu ya Mkoa wa Kaskazi Unguja katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Shehia ya Kama Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
Baadhi ya Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kaskazini "B"Unguja na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa utolewaji wa taarifa ya Mkoa wa Kaskazini Unguja iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Shehia ya Kama Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja leo(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.