Habari za Punde

Banki ya Watu wa Zanzibar PBZ Yaandaa Bonaza la Mkombozi Uwanja wa Amaan Zanzibar kesho 1/10/2017. na Kutowa Huduma za Kibenki Kwa Wateja Wake na Kukabidhi Card za ATM Wakati wa Bonaza hilo.

Uongozi wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ imeandaa Bonaza Maalum lilijulikana kwa jina la Mkombozi Bonanza litakalohususha michezo mbalimbali na Ligi ya Mkombozi itakoyoshirikisha Timu 14 za Unguja.

 Katika Bonza hilo litakaloaza kesho katika viwanja vya Amaan Zanzibar litahusisha michezo ya kufukuza Kuku, Mbio za Magunia na Mchezo wa kuvuta kamba kwa kushirikisha Wafanyakazi wa PBZ kushiriki michezo hiyo na kufuatia mchezo wa mpira wa miguu kati ya Timu ya PBZ na Timu ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati wa jioni.

Pia kutatolewa huduma mbalimbali za Kibenki za kuunganishwa katika PBZ Mobile Bank na kutowa Card za ATM kwa wateja wao bado kupata kadi hizo na kupata fursa kupata huduma hiyo na kupata kadi zao  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.