Habari za Punde

Taasisi ya China National Research Instituteof Food and Fermentation Industries ( CNRIFFI) Yatowa Mafunzo ya Mapishi na Ukarimu Kwa Wafanyakazi wa SMZ.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Salum Maulid akifungua mafunzo ya Mapishi na Ukarimu yaliotolewa na Taasisi ya China National Research Instituteof Food and Fermentation Industries (CNRIFFI) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Kikwajuni Zanzibar na kukabidhi Vyeti kwa Washiriki wa mafunzo hayo ya wiki mbili yaliowashirikisha Wahuduma wa SMZ na Walimu wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.