Habari za Punde

Mchezo wa Ligi ya UBA Basket Ball Viwanja vya Maisara Kati ya Stone Town na JKU Timu ya Stone Town Imeshinda Kwa Vikapu 49-45.


 Kikosi cha Timu ya Basket Ball Stone Town kilichotowa Kipigo kwa Timu ya JKU katika michuano wa Basket Ball Wilaya ya Mjini UBA mchezo uliofanyika katika viwanja vya maisara Zanzibar imeibuka kwa vikapu 49-45.
Kikosi cha Timu ya JKU Basket Ball kilichokubali kipigo cha Vikapu 49-45 dhidi ya wapizani wao Timu ya Stone Town mchezo uliofanyika viwanja vya maisara Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.