Habari za Punde

Naibu Waziri Anastazia Wambura akiwa katika matukio mbalimbali Bungeni Dodoma

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Miss Garden Route Witness Kavumo (kulia) ambaye ni Mtanzania aliyeshinda taji hilo nchini Afrika Kusini   mara baada ya kikao cha Bunge leo mjini Dodoma. Na kushoto ni Deogratiacias Masaga Mmiliki wa Kampuni ya Mitindo   ya VAA Afrika.


Naibu Waziri wa Wizara Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura (aliyevaa miwani) akifuatilia Taarifa ya Ripoti za Kamati zilizoundwa na Mhe. Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai kuchunguza makinikia ya madini ya Almasi na Tanzanite leo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kajaji.
(Picha na Eleuteri Mangi, WHUSM, Dodoma)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.