Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al Hajj Dk. Ali Mohamed Shein, Ajumuika na Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Eid Al Hajj Katika Viwanja vya Mpira Dimani Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala  Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika Uwanja wa Mpira wa Dimani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika Swala ya Eid el Hajj iliyoswaliwa leo Kitaifa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kulia) alipofuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala  Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika Uwanja wa Mpira wa Dimani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika Swala ya Eid el Hajj iliyoswaliwa leo Kitaifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokua akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Amani Abeid Karume alipowasili katika Uwanja wa Mpira wa Dimani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika Swala ya Eid el Hajj iliyoswaliwa leo Kitaifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) pamoja na Viongozi mbali mbali na Waislamu wakiwa katika Swala ya Sunna ya Eid El Hajj iliyoswaliwa leo Kitaifa katika Uwanja wa Mpira wa Dimani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoongozwa na Sheikh Abdalla Juma Mussa (mbele)
Sheikh Abdalla Juma Mussa (kushoto) alipokuwa akitoa Khutba kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya Swala ya Sunna ya Eid El Hajj iliyoswaliwa leo Kitaifa katika Uwanja wa Mpira wa Dimani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi ,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein 

Baadhi ya Akinamama Waiskamu wakiwa katika Uwanja wa Mpira wa Dimani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi,wakisikiliza Khutba ya Swala ya Sunna ya Eid El Hajj iliyotolewa na Sheikh Abdalla Juma Mussa (hayupo pichani) baada ya Swala leo.[Picha na Ikulu.] 01/09/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.