Habari za Punde

Sheikh Soraga Akitowa Hutba ya Ijumaa Katika Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar Wakati wa Ufunguzi wa Msikiti Huo leo.

Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Mussa Soraga akitowa hutba ya Sala ya Ijumaa katika Masjid Jaamiu Zinjibar Mazizini leo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Masjid hiyo uliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Ujumbe kutoka Oman wakiungana na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Ijumaa ilioendana na uzinduzi wa msikiti huo ujulikanao kwa jina la Masjid Jaamiu Zinjibar uliojengwa kwa hisani na Mfalme Qaboos wa Oman.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.