MSAIDIZI Mratibu Jumuia ya wazee Zanzibar
JUWAZA kisiwani Pemba, Mohamed Najim Omar, akizungumza na wajumbe wa baraza la
wazee wa shehia ya Wingwi mapofu wilaya ya Micheweni, wakati wa ziara ya
kuangalia changamoto na mafanikio ya mabaraza ya wazee, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa baraza la wazee shehia ya Wingwi mapofu wilaya ya Micheweni Pemba, Salim Said Ali, akizungumza na waandishi wa habari juu mafanikio na changamoto zao, wakati waandishi hao walipofika hapo kwa ajili ya kuzungumza nao, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa baraza la wazee shehia
ya Wingwi mapofu wilaya ya Micheweni Pemba, Salim Said Ali, akizungumza na
waandishi wa habari juu mafanikio na changamoto zao, wakati waandishi hao
walipofika hapo kwa ajili ya kuzungumza nao, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
KATIBU wa baraza la wazee la shehia ya
Wingwi mapofu wilaya ya Micheweni Pemba, Fatma Rashid Nassor, akielezea lengo
la kuanzishwa kwa baraza hilo kwa waandishi wa habari, waliofika shehiani humo,
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWANACHAMA wa baraza la wazee shehia
ya Wingwi mapaofu wilaya ya Micheweni kisiwani Pemba, Hamad Faki Mwinyi,
akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari, waliofika kijijini hapo
kuzungumza na wajumbe wa baraza hilo, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment