Habari za Punde

Kamati ya Kitaaluma ya Udhalilishaji Wanawake na Watoto Pemba Wapata Mafunzo.

Ofisa MIpango Jinsia kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa, linaloshughulikia Idadi ya Watu Dunia (UNFPA) Ali
Haji Hamad, akitowa Mada juu ya ukatili wa jinsia kwa Kamati ya Kitaalamu ya Uratibu wa Mipango  wakati wa mkutano na Wananchi wa Kisiwani Pemba  uliofanyika katika ukumbi wa Samael Gombani Pemba.
Mjumbe kutoka kamati ya Kitaalamu ya Uratibu wa Mpango wa Taifa wa kupambana  na vitendo vya ukatili wa kijinsia na udhalilishaji dhidi na wanawake na watoto kisiwani Pemba, Robert Migulu, akichangia mada katika mafunzo hayo  kwa kamati hiyo.

Mjumbe wa Kamati ya Kitaalamu ya uratibu wa mpango wa Taifa wa kupambana na Vitendo vya Ukatili na udhalilishaji dhidi ya Wanawake na Watoto Pemba, Ramla Abass Farahani, wakati wa mafunzo ya kamati hiyo
yaliofanyika huko katika ukumbi wa Samael Gombani Pemba.
Picha na Habiba Zarali - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.