Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Akabidhiwa Cheti cha Shukrani na Kampuni ya SportPesa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea cheti cha shukrani toka kwa Mtendaji Mkuu wa Sportpesa Kenya Bw. Ronald Karauri, Sportpesa  imetoa Cheti cha Shukrani kwa Makamu wa Rais kwa ushiriki wake wakati wa ujio wa timu ya Everton nchini ambao umechangia kuitangaza nchi kwenye michezo na utalii duniani, Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji Sportpesa  Tanzania Bw. Abbas Tarimba (katikati), afisa Uhusiano Sportpesa Tanzania,Bi. Sabrina Msuya wa pili kulia na Mkuu wa Operesheni Sportpesa Tanzania Bw. Lucas Neghesti wa pili kushoto. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Sportpesa Kenya Bw. Ronald Karauri (kushoto) Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji Sportpesa  Tanzania Bw. Abbas Tarimba (kulia), afisa Uhusiano Sportpesa Tanzania,Bi. Sabrina Msuya wa pili kulia na Mkuu wa Operesheni Sportpesa Tanzania Bw. Lucas Neghesti wa pili kushoto ambao walimkabidhi Makamu wa Rais Cheti cha Shukrani kwa ushiriki wake wakati wa ujio wa timu ya Everton nchini ambao umehamasisha michezo na utalii. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.