Habari za Punde

Milele Zanzibar Foundation Latowa Elimu ya Kusarifu Mwani Kupitia Mkufunzi Kutoka Indonesia.

Mkufunzi wa Mafunzo ya kusarifu Mwani kutoka Nchini Indinesia Maria Gigi Sertiarti akitowa mafunzo kwa Wakulima wa Mwani Zanzibar jinsi ya kuusarivu na kupata bidhaa mbalimbali kutokana na zao hilo na kuuzindisha thamani yake kwa matumizi mengine kwa vidhaa za chakula. 
Mkufunzi wa Zao la Kusarifu Mwani kutoka Nchini Indonesia Bi. Maria Gigi Sertiarti akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo ya Wakula wa Kongano la Mwani Zanzibar jinsi ya kuusarifu mwani kwa kutengeneza bidhaa mbalimbali.
Wakulima wa Mwani Zanzibar wakifuatilia mafunzo hayo, katika ukumbi wa Chuo cha Karume Zanzibar. 
Katibu wa Kongano la Mwani Zanzibar Rajab Ali Lee akizungumza wakati wa mafunzo hayo ya kuusarifu zao la Mwani Zanzibar, mafunzo hayo yameandaliwa na Shirika la Milele Zanzibar Foundation.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.