Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Jangombe Boys na Black Sailors Uwanja wa Amaan Timu ya Sailors Imeshinda Bao 1--0.

Mshambuliaji wa Timu ya Jangombe Boys akijaribu kumpita beki wa Timu ya Black Sailors wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Black Sailors imeshinda bao 1-0.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.