Habari za Punde

PSPF Yazindua Ofisi Yake Kisiwani Pemba.

Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba , Mwanajuma Majid Abdalla, akizinduwa ofisi hiyo ya mfuko wa Pensheni  (PSPF) huko Chake Chake Pemba.
Mwakilishi wa mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Pensheni ya Taifa (PSPF) Neema Murro, akitowa maelezo machache juu ya mfuko huo kwa Wadau wa Mfuko  huo huko Kisiwani Pemba.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na Wadau wa mfuko wa Pencheni wa Taifa (  PSPF) huko katika Kiwanja cha Ofisi ya Uhamiaji Pemba, kabla ya uzinduzi wa Ofisi ya Mfuko huo.

Wadau wa mfuko huo wa Pencheni wa Taifa ( PSPF)  wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba , Mwanajuma Majid Abdalla, akitowa hutuba yake kabla ya kuzinduwa Ofisi ya mfuko huo Kisiwani Pemba.

Picha na BAKAR MUSSA-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.