Habari za Punde

Waziri wa Afya Zanzibar Azungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa Kutoka Jumuiya ya Kiislam ya Saudi Arabia.

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akipokea zawadi ya mapambo yenye mfano wa sahani baada ya mazungumzo yake na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani (WAMY) kuhusiana na matibabu yatakayoyaendeshwa Kisiwani Pemba mazungumzo yaliofanyika katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani(WAMY)kuhusiana na matibabu watakayoyaendeshaKisiwani Pemba mazungumzo yaliofanyika katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.
Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani (WAMY) Dk,Sultan akizungumza machache kuhusiana na matibabu watakayoyaendesha wakati walipokutana nakufanya mazungumzo katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.madaktari hao watakuwepo kisiwani Pemba kutoa matibabu mbalimbali ikiwemo matatizo ya akina mama na mifupa kwa siku 10.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.