Habari za Punde

Harakati Katika Mji wa Chake chake Pemba.

Wananchi wa mitaa ya Mji wa Chakechake kisiwani wa Pemba wakiwa katika harakati za kujipatia mahitaji yao katika marikiti kuu ya chakechake na baadhi ya wafanyabiashara ya samaki hufanya biashara hiyo katika eneo la kuingia na kutokea gari za abiria katika marikiti hiyo na kuwa kero kwa madereva wakati wa kutoka baada ya kupakia abiri kuaza safari zao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.