Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluihu Hassan Azungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke ambaye alifika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa mazungumzo,Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke ambaye alimtembelea Makamu wa Rais kwa mazungumzo ofisini kwake,Ikulu jijini Dar es Salaam.
 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.