Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Afanya Mazungumzo na Balozi wa Canada Nchini Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles aliyefika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada Nchini TanzaniaMhe. Ian Myles baada ya mazungumzo yao yaliofanyika ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo(Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.