Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Kilimani City na Charawe Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Kilimani City Imeshinda bao 6 - 1.

KOCHA Mkuu wa Timu ya Charawe Ali Bushiri akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Kilimani City imeshinda bao 6 - 1
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Charawe Frank Kanji akimpita beki wa Timu ya Kilimani City Ahmeid Seif, wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Kilimani City imeshinda bao 6 - 1

 Wapenzi wa Timu ya Charawe wakishangilia Timu yao hadi mwisho wa mchezo huo.  
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Kilimani City Abdillah Seif Bausi akimpita beki wa Timu ya Charawe Aron Richard wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibat Timu ya Kilimani City imeshinda bao 6 - 1
WACHEZAJI wa Timu ya Kilimani City wakitembea kwa magoti kushangiria ushindi wao wa bao la 6 dhidi ya Timu ya Charawe

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.