Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Atembelea Meli ya Hospital ya China Aagana na Kushukuru Wanamaji na Madaktari Waliokuja Nayo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la wanamaji wa Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali na Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin   alipoitembele aleo Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akioneshwa video inayoonesha shughuli za Meli ya Hospitali ya China alipoitembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.

Baadhi ya Wachina waishio nchini wakiwa Bandarini wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.

Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin  akiongea wakati Rais Dkt. John Pombe Magufuli  alipowatembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja na meli hiyo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli  akimshukuru Kiongozi Mkuu wa Meli ya Hospitali ya China Kamanda Guan Bailin  alipowatembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja na meli hiyo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Wanamaji wa Jeshi la Wananchi la Tanzania wakiwa katika hafla ya ujio wa Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Maafisa na Wanamaji wa Jeshi la Wananchi la China  wakiwa katika hafla ya ujio wa Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Baadhi ya Wachina waishio nchini wakiwa Bandarini wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Wanahabari wa China wakiwa bega kwa bega na wanahabari wa Tanzania wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli alipotembelea Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wafanyakazi wa Bandari  alipoitembele Meli ya Hospitali ya China  Jumapili Novemba 26, 2017  kuwashukuru na kuwaaga wanamaji na madaktari waliokuja nayo baada ya kutoa huduma kwa wananchi kwa takriban juma zima katika bandari ya Dar es salaam.Picha na Ikulu 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.