Habari za Punde

Wadau sekta ya Afya Pemba wakutana kupanga mkakati wa kukabiliana na kipindupindu

 WADAU mbali mbali wa sekta ya afya Kisiwani Pemba, wakiongozwa na maafisa afya mikoa, Wilaya, baraza la mji na Halmashauri, wakiwa katika kikao cha pamoja cha kupanga mkakati wa kukabiliana na Kipindupindu Pemba.(PICHA NO:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKURUGENZI wa Baraza la Mji Mkoani Rashid Abdalla Rashid, akitoa ufafanuzi juu ya mikakati ya kupambana na maradhi ya kuharisha na kipindupindu kwa Wilaya ya Mkoani.(PICHA NO:ABDI SULEIMAN, PEMBA)
DAKTARI dhamana wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, Dr Haji Mwita akichangia katika kikao cha kupanga mkakati wa kukabiliana na maradhi ya Mripuko na Kipindupindu Pemba pindi yatakapo tokea.(PICHA NO:ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.