WATENDAJI wa baraza la mji Chake Chake, wakikagua
mabwaya ya ufugaji wa samaki katika kikundi cha Bora uhai huko Sangafu Mkumbuu
Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA).
MKURUGENZI wa Baraza la Mji Chake Chake kulia,
Nassor Suleiman Zahran akinyanyua mashine ya kuvutia maji na vifaa mbali mbali,
vyenye thamani ya Laki 9.5, kuashiria kumkabiidhi Mwenyekiti wa Kikundi cha
Bora Uhai Adam Mohamed Abeid.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment