Habari za Punde

Mamlaka ya Manunuzi na Uondoaji wa Mali za Serikali wafanya kikao na maafisa manunuzi kisiwani Pemba

 AFISA mdhamini Wizara ya fedha na Mipango Pemba, Ibrahim Saleh Juma akifungua kikao cha maafisa manunuzi kutoka Taasisi mbali mbali za Serikali Kisiwani Pemba, kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Uwanja wa Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 WATENDAJI wa Mamlaka ya Manunuzi na Uoandoaji wa Mali za Serikali, wakiwa na maafisa manunuzi kutoka taasisi mbali mbali za Serikali Pemba, wakisikiliza Afisa Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba, wakati akifungua huko katika uwanja wa Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Manunuzi na Uondoaji wa Mali za Serikali Zanzibar, Othman Juma Othman akizungumza na maafisa manunuzi Pemba, kwa mara ya kwanza tokeo kuteuliwa kwake na Rais wa zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA manunuzi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Pemba, Mtumwa Ali Khamis akiuliza swali juu ya ufanyaji wao wa kazi kwa mujibu wa sheria namba 11 ya 2016 ya manunuzi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.