Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli Afungua Mkutano wa Tisa wa UVCCM Dodoma leo.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar na Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Vijana wa CCM Tanzania katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Mboni Mhita. 
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana wakiingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Chuo cha Mipango Dodoma. kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano huo
 MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Dodoma Chuo cha Mipango
MWENYEKITI wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein na Viongozi wa CCM na UVCCM wa meza kuu wakiwa wamesimama baada ya kuinga katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Mipango Dodoma,kwa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM Dodoma

VIONGOZI wa CCM wakiwa wamesimama wakati Mwenyekiti wa CCM Dk John Magufuli akiingia katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM  katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Mhe. Mboni Mhita na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakiwa wamesima wakati wa kuwasili kwa Mgeni Ramin Dk John Magufuli katika ukumbi wa Mkutano Chuo cha Mipango Dodoma
WANACHAMA wapya wa CCM waliojiunga na CCM kutoka vyama vya upinzani wakiwa katika ukumbi wa mkutano Chuo cha Mipango Dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakisoma jarada la matukio la UVCCM wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Chuo cha Mipango Dodoma
MSANII wa Kikundi cha TOT Khadija Kopa akitowa burudani wa Ufunguzi wa Mkutano huo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
 VIJANA wa Chupukizi kutoka Mkoani Tanga wakiimbi wimbo maalum wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma.
KATIBU Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka akisoma taarifa ya utendaji ya Umoja wa Vijana wa CCM wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akiwa na picha aliokabidhiwa na Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa UVCCM uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM Mboni Mhita akihutubia mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa ajili ya ufunguzi wake katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es Salaam Maulid Mtulia akizungumza wakati wa mkutano huo wa UVCCM katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma.
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM, katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma, akitowa nasaha zake kwa Wagombea na Wajumbe wa mkutano huo

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM wakifutalialia hutuba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akifungua mkutano huo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma

WAALIKWA wa Vyama vya Siasa wakifuatlia mkutano huo wa UVCCM Dodoma
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Dk John Pombe Magufuli akipiga ngoma Tumba wakati akiwa katika jukwaa wa wasanii wa kikundi cha TOT baada ya kuufungua mkutano mkuu wa UVCCM katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakimpigia makofi Mwenyekiti wa CCM Dk John Magufuli wakati alipopanda katika jukwaa a wasanii la TOT na kupiga ngoma Tumba
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM  Abdulrahaman Kinana wakitoka katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya ufunguzi wake uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.