Habari za Punde

Watendaji ZRB Pemba wapimwa afya zao


 Dk, Faiza Kassim Suleiman, akitowa taaluma kwa  Watendaji wa Serikali wa ZRB Pemba,jinsi   wanavyotakiwa kujikinga na maradhi ya kuambukiza ikiwemo maradhi ya Sukari ambayo yameonekana kuwa tishio Zanzibar na

Duniani kwa ujumla.
  Dk, Faiza Kassim Suleiman, akitowa taaluma kwa  Watendaji wa Serikali wa ZRB Pemba,jimsi   wanavyotakiwa kujikinga na maradhi ya kuambukiza ikiwemo maradhi ya Sukari ambayo yameonekana kuwa tishio Zanzibar na

Duniani kwa ujumla.
 Wafanyakazi wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) , wakifuatilia kwa makini taaluma wanayopatiwa na Dk, Faiza Kassim Suleiman, mtaalamu wa maradhi ya Sukari  kutoka Hospitali ya Mnazi mmoja Unguja.

Watendaji wakuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar ( ZRB) Pemba, wakifuatilia matokeo ya upimaji wa maradhi mbali mbali kwenye vyeti vyao , juu ya viashiria vya maradhi waliyonayo .


PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.