Habari za Punde

Wawa Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani.

Wafanyakazi wa Kampuni ya Excel Installations Zanzibar wakishughulika kuweka Skirini ya kuonesha picha za Matukio mbalimbali(ELETRONICK BOD)ya Habari Maelezo Zanzibar katika sehemu ya Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi Kisonge Mjini Unguja .

Picha na Yussuf Simai -Maelezo Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.