Habari za Punde

Taarifa Kwa Vyombo vya habari

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari                         

Vyombo vyote vya Habari ambavyo Vinategemea Kushiriki Kilele cha Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar Uwanja wa Amani Vinatakiwa Kuwasilisha Majina ya Waandishi wao Idara ya Habari Maelezo kuazia leo Ijumaa hadi kesho jumamosi saa 11.00, jioni.

Baada ya Kupita Muda huo hakuna majina yatakayopokelewa, tutafarijika zaidi kuleta majina ya waandishi wenu wenye PRESS CARD za mwaka 2017 ama waliojiorodhesha kwa ajili ya PRESS CARD za mwaka 2018.

Ahsanteni kwa Ushirikiano Wenu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.