Habari za Punde

Yaliojiri Wakati wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma Wiki Hii.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein kulia na kushoto Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana wakifurahia jambo wakati wakielekea katika Ukumbi wa Mkutona wa Jakaya Kikwete kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM, uliofanyika Dodoma wiki hii 18-12-2017. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.