Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azindua Warsha ya Viwanda Vidogo Vidogo Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali wakielekea katika ukumbi wa mkutano kwa ajili ya Ufunguzi wa Warsha ya kutoa Uelewa Juu ya Mamlaka itakayosimamia Viwanda Vidogo vidogo na Vya Kati Zanzibar (SMIDA) iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marine.Thomas alipowasili katika viwanja vya zamani vya Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif, wakiangalia burudani ya ngoma ya Kikundi cha Sanaa cha Mafunzo Zanzibar wakati wa hafla hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kulifungua Kongamano la Warsha ya Uelewa Juu ya Mamlaka Itakayosimamia Viwanda Vidogo vidogona Vya Kati (SMIDA) hafla hiyo imewashirikisha Wajasiriamali mbalimbali wa Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi kikwajuni Zanzibar

WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akitowa maelezo ya hafla hiyo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kulifungua Kongamano hilo
KATIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Masoko Zanzibar Juma Ali Juma akizungumza kitaalamu juu ya Uelewa Juu ya Mamlaka ya Itakayosimamia Viwanda Vidogo vidogo Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza kikwajuni Zanzibar
Mkurugenzi Mkuu wa SIDO Tanzania Profesa Sylvester M Mpanduji, akitowa maelezo juu ya umuhimu wa uaznzishaji wa Viwanda Vidogo vidogo kwa wajasiriamali wakatikwa warsha hiyo ilioandaliwa na Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni
BAADHI ya wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Kongamano la Warsha la Kutoa Uelewa Juu ya Mamlaka Itakayosimamia Viwanda Vidogo vidogo na vya Kati (SMIDA) lililoandaliwa na Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar
Mabalozi Wadogo wa Nchi zao wanaofanyia Kazi zao Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi wakihudhuria hafla hiyo.
BAADHI ya wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Kongamano la Warsha la Kutoa Uelewa Juu ya Mamlaka Itakayosimamia Viwanda Vidogo vidogo na vya Kati (SMIDA) lililoandaliwa na Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar
BAADHI ya Wajasiliamali wa Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo wakati wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifufunga Warsha hiyo ililofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amina Salum Ali Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud wakiwa katika picha ya pamoja na Watoa Mada wa Warsha Hiyo baada ya kufunguliwa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid, Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, na kulia Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amina Salum Ali, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud wakiwa katika picha ya pamoja na Wajasiriamali wenye viwanda Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid, Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, na kulia Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amina Salum Ali, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud wakiwa katika picha ya pamoja na Wajasiriamali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.