Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na uhakiki wa Wafanyakazi hewa wa SMZ na kutoaa taarifa hiyo,Mkutano huo umefanyika katika Ofisi Rais Ikulu Zanzibar.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakifuatilia kwa makini taarifa hiyo ikitolewa na Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, akitowa taatifa hiyo baada ya uhakiki wa wafanyakazi uliofanywa kwa Wizara zote za SMZ kuchunguza wafanyakazi hewa.
No comments:
Post a Comment