Habari za Punde

Maji ya mvua yanavyowasaidia wananchi wa Kokota wilaya ya WeteWANANCHI wa kisiwa cha Kokota wilaya ya Wete, wakiwa katika foleni kuteka maji ya mvua ambayo yamehifadhiwa katika hodhi maalumu, kwa ajili ya matumizi yao, ambapo suala la maji ya bomba kuwa ni ndoto kupata.(PICHA NA SAIDI ABRAHMANI, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.