Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Ajumuika na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Vilivyoshiriki Gwaride la Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi Viwanja Vya Amaan.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni kuhudhuria hafla ya chakula cha mchana na Wanajeshi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki katika Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi katika viwanja vya Amaan12-1-2018
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya chakula cha mchana Vikosi vya Ulinzi naUsalama vilivyoshiriki gwaride la kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika 12-1-2018 katika viwanja vya Amaan Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakati ukipingwa wimbo wa Taifa alipowasili katika viwanja vya Makao Makuu wa KVZ Mtoni Zanzibar
MAOFISA wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wakati wa hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi , wakijumuika na Wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar katika chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar.
WAPIGANAJI wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakijumuika katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kwa askari hao walioshiriki katika maadhimisho ya sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, akitowa neno la shukrani kwa washiriki wa gwaride la kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar, hafla hiyo ya chakula cha mcha zimefanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na viongozi wa meza kuu wakiitikia dua iliokuwa ikisomwa na Askari wa Kikosi cha JKU Said Bakari Ali, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.