Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi, akiwa Nchini za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu UAE. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo ya Abu Dhabi katika ukumbi wa Hoteli ya Kimataifa ya “Jumeirah Etihad Towers” mjini Abu Dhabi, akiwa Nchini UAE katika ziara yake ya Kiserikali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.