Habari za Punde

Tume ya Ukimwi yatoa mwelekeo wake kwa mwaka 2018

 WAANDISHI wa Habari kutoka Vyombo mbali mbali vya Habari Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini afisa Ufuatiliaji kutoka Tume ya ukimwi Zanzibar, Binuru Ramza wakati akitoa mwelekeo wa ZAC mwaka 2018, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa ZAC Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


AFISA ufuatiliaji kutoka Tume ya Ukimwi Zanzibar (ZAC) Binuru Ramza akitoa mwelekeo wa Tume ya Ukimwi kwa mwaka 2018, katika kikao cha pamoja na waandishi wa habari Pemba, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Tume hiyo Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.