Habari za Punde

Wavuvi wa Samaki bandari ya Mkoani

Wavuvi wa Samaki katika bandari ya Mkoani, wakiwa na samaki wao wakisubiri kuwapeleka katika mnada kwenye soko la Mkoani, ambapo shazi moja huuzwa kati ya 45000/= hadi 50000/=.

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.