Habari za Punde

Younger Islander yatoka sare na Dogomoro ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Pemba


 KEPTENI wa Timu ya Younger Islander Nassor Aduni akijaribu kumdhibiti mchezaji wa timu ya Dogomoro Hamad Ali Hamad, wakati wa mchezo waligi kuu ya Zanzibar kanda ya Pemba, mchezo uliopigwa katika uwanja wa Gombani, matokeo ya mchezo huo 0-0.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
 MCHEZAJI wa Timu ya Younger Islander Ali Seif Ali akipiga mpira mbele ya wachezaji wawili wa Timu ya Dogomoro, wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Pemba, mchezo uliopigwa katika uwanja wa michezo Gombani, matokeo ya mchezo huo 0-0.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
KEPTENI wa Timu ya Younger Islander Nassor Aduni, akimkwatua mchezaji wa timu ya Dogomoro Hamad Ali Hamad, wakati wa mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar kanda ya Pemba, Mchezo uliopigwa katika uwanja wa michezo Gombani, matokeo ya mchezo huo 0-0.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.