WAFANYAKAZI wa Shirika la Umeme wakipima boksi, ambalo hutumika
kwa ajili ya kuhifadhia barafu, kwa wananchi wa kisiwa cha Kokota Wilaya ya
Wete, huku Ofisa Mdhamini wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Juma
Bakar Alawi (JB) akishuhudia zoezi hilo la Upimaji.
(PICHA
NA SAIDI ABRAHMANI, PEMBA).
No comments:
Post a Comment