Habari za Punde

Wafanyabiashara soko la Machomanne waendelea kuuza biashara nje wapewa onyo la mwisho
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Rashid Hadidi Rashid, akitowa onyo la mwisho kwa wafanyabiashara wa mazao kuacha kuuza mazao nje ya Soko na kuwataka kuingia ndani kwani Serikali imewajengea Soko kwa
ajili yao Mkurugenzi wa Baraza la Mji wa Chake Chake Pemba, Nassor Suleiman Zaharan, akizungumza na Mfanyabiashara huko katika Soko la Machomanne Pemba, akimuamuru kuingia ndani ya Soko na sio kuuza bidhaa nje.

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Rashid Hadidi Rashid, akitowa onyo la mwisho kwa wafanyabiashara wa mazao kuacha kuuza mazao nje ya Soko na kuwataka kuingia ndani kwani Serikali imewajengea Soko kwa
ajili yao 

PICHA NA JAMILA ABDALLA -MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.