WATENDAJI
wa Vitengo mbali mbali vilivyomo ndani ya Wizara ya Habari, Utali, Utamaduni na
Michezo Pemba, wakifuatilia kwa makini mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi
hao, huko katika ukumbi wa Wizara hiyo Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA
Mdhamini Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Pemba, Khatib Juma
Mjaja akizungumza katika kikao cha Watendaji wa Vitengo mbali mbali vilivyomo
ndani ya wizara yake, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi hao,
kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo. .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKURUGENZI
Utumishi na Uwendeshaji wa Wizara ya Habari Utali, Utamaduni na Michezo
Zanzibar, Joseph Kilangi akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo watendaji wa Vitengo
mbali mbali vilivyomo ndani ya Wizara ya Habari, Utali, Utamaduni na Michezo
Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA
Utmishi Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Khamisuu Hamid
akiwasilisha mada mbali mbali katika mafunzo ya kuwajengea uwezo watendaji wa
Vitengo mbali mbali vilivyomo ndani ya Wizara ya habari Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment