Habari za Punde

Makamishna wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar ziarani Mkoa wa Kusini Pemba

 MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na Makamishna wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, baada ya kufika ofisini kwake kujitambulisha uwepo wao katika mkoa huo, wakiwa na lengo la kujuwa changamoto zinazoikabili sekta ya utalii.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
BAADHI ya Makamishna wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, wakimsikiliza mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Hemed Suleiman Abdalla wakati alipofika kujitambulisha kwao kwa uongozi wa Mkoa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na Makamishna wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, baada ya kufika ofisini kwake kujitambulisha uwepo wao katika mkoa huo, wakiwa na lengo la kujuwa changamoto zinazoikabili sekta ya utalii.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

 KATIBU Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Dr Vuai Iddi Lila, akitoa taarifa fupi ya ujio wa Makamishana wa kamisheni ya Utalii Zanzibar katika mkoa wa kusini Pemba, wakati makamishana hao walipofika katika ofisi ya Mkuu huyo wa Mkoa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).

  MWENYEKITI wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Sabaah Saleh akizungumza juu ya Majukumu ya kamisheni hiyo, katika kikao cha Pamoja na uongozi wa Mkoa wa Kusini Pemba, wakati makamishna hao walipofika kujitambulisha kwao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MAKAMISHNA wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar wakimsikiliza kwa makini mmoja wa watoa huduma za kitalii, katika hoteli ya Fundu Lagoon wakati walipofanya ziara ya kuangalia changamoto zianzoikabili sekta ya Utalii katika Hoteli hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.