MRATIB
wa Mradi wa Umeme Jdidifu (Mbadala) Zanzibar Mathew Matimbwi, akiwaonyesha
baadhi ya washiriki wa mafunzo wa Umeme mbadala, baadhi ya vitu vinavyopatikana
katika viyoo halisi ili waweze kutafautisha na viyoo vilivyokuwa sio hali wakati
wa kununua kuepuka vitu feki.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWALIMU
Mkuu wa Skuli ya Sekondari Connecting Continent iliyopo Wawi Mwache Juma Abdalla, akiwafahamisha washiriki wa mafunzo
ya nishati mbadala, jinsi ya miundombinu ya Umeme mbadala unaopatikana katika
skuli hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
MMILIKI
wa Mradi wa bio gass Mauwani Kisiwani Abdalla Rukuni, akitoa maelezo ya mradi
wake jinsi unavyofanya kazi, wakati washiriki wa mafunzo ya nishati Mbadala
walivyojifunza kwa vitendo juu ya mashuala ya nishati hiyo inavyofanya kazi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment