MENEJA wa The
AIYANA Hotel Barbra Elikaz Mwenye mifuko mkononi, akielezea changamoto
zinazowakabili katika utendaji wake wa kazi, kwa makamishna wa Kamisheni ya
Utalii Zanzibar, wakati walipofanya ziara ya kutembelea hitoli hizo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MAKAMISHNA wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar
wakikaguzwa baadhi ya maeneo yaliyomo ndani hoteli ya Aiyana, wakati wa ziara
yao ya siku mbili Kisiwani Pemba, kuangalia changamoto zilizopo katika sekta ya
Utalii.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment