Habari za Punde

Naibu Katibu Mkuu CCM aendelea na ziara yake Wilaya ya Micheweni Pemba

 NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akiangalia moja ya ramani za ujenzi wa mradi mkubwa wa uwekezaji wa Chama Cha mapiduzi Wilaya ya Micheweni, wakati wa ziara yake ya Kichama kwa Wilaya hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akisalimiana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Micheweni, wakati alipowasili Chimba kuzungumza na Viongozi na wanachama wa CCM Tawi la Chimba, wakati wa ziara yake ya kuzungumza na wanachama hao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 BAADHI ya wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Micheweni, wakimsikiliza kwa makini Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi na wanachama wa CCM Tawi la Chimba Jimbo la Tumbe Wilaya ya Micheweni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akizungumza na Viongozi na Wanachama wa Tawi la CCM chimba Wilaya ya Micheweni, wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 MZEE Omar Ali Pili kutoka kushoto mwenye shati ya kijani, akitokwa na machozi wakati Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, alipokuwa akizungumzia umuhimu wa umoja, mshikamano na kujenga chama kwa Viongozi na Wanachama wa CCM Tawi la Chimba Jimbo la Tumbe Wilaya ya Micheweni. .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akifurahi jambo na mwasisi wa CCM Wilaya ya Micheweni, Bimrashi Seif wakati alipomtembelea nyumbani kwake sizini Wilaya y micheweni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM), Mhe;Dk Abdalla Juma Mabodi, akimkabidhi msaada wa fedha mwasisi wa Mapinduzi Bimrashi Seif wakati alipomtembelea nyumbani kwake Sizini Wilaya ya Micheweni, wakati wa ziara ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya CCM.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akisalimiana na mmoja wa watoto wa Bimrashi Seif, wakati alipomtembelea muwasisi huyo wa mapinduzi nyumbani kwakwe Sizini Wilaya ya Micheweni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Mhe:Dk Abdalla Juma Mabodi, akikagua ujenzi wa nyumba ya bimrashi Seif inayojengwa na CCM Wilaya ya Micheweni, huku akiahidi CCM Afisi kuu Kisiwandui ikiahidi kumjengea choo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.