Habari za Punde

Ndege ndogo yaanguka Uwanja wa ndege wa Zanzibar ilipokuwa inaruka Mabaki ya ndege ndogo aina ya Cherokee 140 iliyoanguka katika uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume leo jioni ilipokuwa ikijiandaa na safari yake ya Dar. na kuanguka na kuwaka moto. Rubani wa ndege pamoja na fundi aliekuwa katika ndege hii wamefariki dunia.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.