Habari za Punde

Pemba Basketball Club yamkabidhi cheti cha Urais wa maisha Dkt We Zheng kwa mchango wake

 Rais wa Pemba Basketball Club ya Mkoani Pemba, akizungumza machache baada ya kumkabidhi cheti cha urais wa maisha , Dkt, Wu zHeng Can, kwa mchango wake na ushirikiano kwa Timu hiyo.
 Kiongozi Mkuu wa Timu ya Madaktari wa Kichina walioko katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Pemba, Dkt, Chen Er Dong , akizungumza na Wachezaji wa mchezo huo wa Basket Ball huko Mkoani Kisiwani Pemba
 Msaidizi wa Timu ya Madaktari wa Kichina walioko katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, Dkt, Wu zHeng Can, akiwa katika harakati za mchezo huo wa Basket ball katika kiwanja cha Mkoani Pemba.
 Msaidizi wa Timu ya Madaktari wa Kichina walioko katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani, Dkt, Wu zHeng Can, akiwa katika harakati za mchezo huo wa Basket ball katika kiwanja cha Mkoani Pemba.

PICHA ZOTE NA HABIBA ZARALI -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.