Habari za Punde

Vijana wa Timu ya Limani Wapata Vifaa Vya Michezo Pemba.

Ofisa mdhamini Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Pemba ,Khatib Juma Mjaja, akikabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya vijana ya Limani Chanjamjawiri katika Wilaya ya Chake Chake,.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.