Habari za Punde

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko azungumza na Masheha pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Mkoa wa Kusini Pemba

 MAAFISA mbali mbali wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kusini Pemba, wakifuatilia hutuba ya waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Mhe:Balozi Amina Salim Ali, wakati alipokuwa akizungumza na masheha juu ya kumalizika kwa Msimu wa karafuu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
 AFISA Mdhamini Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Pemba, Abdalla Juma akitoa maeleo juu ya mkutano uliowashirikisha kamati ya Ulinzi na Usalama na Masheha wa Mkoa wa kusini Pemba, huko katika ukumbi wa makonyo Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
 BAADHI ya Masheha wa Mkoa Wa Kusini Pemba, wakiwa katika kikao cha pamoja na wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa huo, kilichoandaliwa na Waziri wa Wizara ya Biashara Zanzibar, huko katika ukumbi wa Mkoanyo Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
 MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza katika kikao cha pamoja kilichowakutanisha wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama na masheha wa mkoa huo, juu ya suala zima la ufungaji wa msimu wa zao la karafuu, mwaka 2017./2018 huko katika ukumbi wa makonyo Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
 WAJUMBE wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa wa kusini Pemba na masheha wa mkoa huo, wakiwa katika kikao cha pamoja juu ya ufungaji wa msimu wa karafuu 2017/2018, huko katika ukumbi wa makonyo Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
WAZIRI wa Biashara Viawanda na masoko Zanzibar, Mhe:Balozi Amina Salim Ali, akizungumza na masheha na wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kusini Pemba, wakati wa kufunga msimu wa uvunaji wa zao la karafuu, huko katika ukumbi wa makonyo Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.