Habari za Punde

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WILAYA YA MEATU MKOANI SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa bwawa la maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu na mifugo la Mwanjolo wilayani Meatu mkoani Simiyu

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandishi Isack Kamwelwe akitoa maelezo ya mradi wa ujenzi wa bwawa la maji Mwanjolo kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwasalimia wananchi wa Mwanjolo mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la Maji Mwanjolo, Meatu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwasalimia wananchi wa Mwanjolo mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la Maji Mwanjolo, Meatu. (picha na ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.