Habari za Punde

Banda la Maonesho la Msd Lavutia Wengi Katika Maonesho ya Kongamano la Fursa za Kibiashara kwa Wajasiriamali Zanzibar.

Mwananchi akiulizwa maswali wakati akitembelea banda la maonesho la Bohari ya Madawa Kanda ya Dar es Salaam, wakati wa Kongamano la Kibiashara la Wajasiriamali na Wafanyabiashara kupata fursa za maendeleo, akimsikiliza Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam Celestine Haule, akiwa na afisa wa Msd wakimsikiliza.
Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa Msd Bwana. Celestine Haule akitowa maelezo ya Shirika lao linalotowa huduma ya kuuza madawa kwa Mahospitali na maduka ya madawa Tanzania akionesha moja vifaa kwa ajili ya Mama mjamzito inayozwa kwa shilingi 25,000/ inayokuwa na kit ya vifaa vya kujifungulia mzazi katika hospital.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.